Wazalishaji na wasambazaji wa bati bora,imara za kisasa za uhakika kutoka kiwandani kwa bei nafuu. Mabati yetu utengenezwa kwa teknolojia ya kipekee na mitambo ya kisasa inayofanya kudumu zaidi bila kupauka wala kupata kutu vizazi hadi kizazi.
Tunazo bati za rangi zifuatazo:
Oda yako ya bati inaandaliwa moja kwa moja kiwandani.
Tunazalisha bati zenye muundo tofauti kulingana na hitaji lako.
Tunatoa offer ya usafiri na misumari kulingana na idadi ya bati
Tunatoa pia ushauri wa kiufundi kutokana na eneo husika au aina ya nyumba.
Wasiliana nasi kwa namba za simu : 0788193360, 0714474327 au kwa kupitia kitufe cha whatsapp hapo chini.
Chagua aina ya bati unazo hitaji pamoja na idadi ya mabati unayo hitaji.
Unaweza kufanya malipo popote ulipo kupitia akaunti za ofisini CRDB BANK ndiyo tunayotumia (jina; Bati Bomba (t)ltd, Akaunti namba: 0150427974000). Unaweza mtuma mwakilishi wako ndugu au jamaa akafika ofisini kujiridhisha kuangalia utaratibu wote kisha ukafanya hayo malipo yako wewe mwenyewe moja kwa moja au kupitia huyo mwakilishi wako akalipia yeye.
Ukisha fanya malipo wewe mwenyewe au kupitia mwakilishi wako basi utatuma au atatupatia hiyo bank slip kuonyesha uthibitisho wa malipo yako.
Mara baada ya kutuma bank slip inayothibitisha malipo uliyofanya , tunakuandalia oda yako na kukusafirishia mzigo wako popote ulipo ndani ya Tanzania
Usiwe na hofu mzigo wako utakufikia popote ulipo ndani ya Tanzania na utakuwa kwa idadi kamili kama ulivyoagiza.